dowry

Kwanini Mahari ?!

Mwezi Septemba, 2012, huko Gwanda, Zimbabwe familia ya kike ilishindwa kutoa ushirikiano katika mazishi ya mtoto wao wa kike ambaye ni marehemu kwa kuwa alikuwa akiishi kinyumba na kijana fulani kwa sababu kijana huyo hakuwahi kulipia mahari ili kuhalalisha uhusiano wake na marehemu. Baada ya familia kulipwa dola za kimarekani 40 na n’gombe 10 hapo…