Corruption Day

Let’s unite against corruption!

Good news, the UN recognizes the impact of corruption in the world that the day was set to reflect on the effect of corruption and unite against it. 9th December is an Intl. Anti-Corruption Day, corruption causes not only poverty in most countries in the global south but also the civil war and migration. People…

Tutalinda Mwenge usiku kucha!

Mbio za Mwenge 2016?

Mapema 2016. Mh. Makamu wa Rais Samia Suluhu alizindua ‘MWENGE’ wa uhuru  katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro kwaajili ya kutembezwa nchi nzima. Huko wilayani Nyamagana, mkoa wa Mwanza, Mkuu wake wa Wilaya akathubutu kuwazuia watu wasifanye shughuli zote za kijamii na kiuchumi katika wilaya yake ili wakaimbe wimbo wa Taifa na kuupokea mwenge. Wilaya…

546786_4292044812584_59416118_n

Maarifa au Muonekano?

Mwaka 2012, nilisoma habari ya kuvunja moyo sana toka katika blogu ya Michuzi. Ilikuwa juu ya mkasa wa Marehemu Prof. Joshua Mukhululi aka Ken Edwards. Green Marwa katika maoni yake anasema:  “Huyu Prof. alifukuzwa kazi pale Chuo cha Uhasibu Arusha kwa kuwa na rasta…amekufa akiwa anadai mishahara yake ya miezi kibao. Yeye ndo aliekianzisha chuo…