Maji ni kati ya huduma muhimu kwa binadamu, hivyo maji yanaongoza kwa umuhimu katika maisha ya binadamu. Nchi hii ikiwa na zaidi ya miaka 50 ya Uhuru bado hatujaweza kuhakikisha kila mwananchi anapata maji safi na salama kila siku.

Maji

Tazama tangazo hili nililikuta Morogoro, mwezi May 2012, Wami-Dakawa kuhusu maji ya mgao. Umeme na Maji vinapokuwa vya mgao, maendeleo yatakuja vipi na hasa wakati wanapozungumzia viwanda?!

 

Tafakari!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *