dowry

Kwanini Mahari ?!

Mwezi Septemba, 2012, huko Gwanda, Zimbabwe familia ya kike ilishindwa kutoa ushirikiano katika mazishi ya mtoto wao wa kike ambaye ni marehemu kwa kuwa alikuwa akiishi kinyumba na kijana fulani kwa sababu kijana huyo hakuwahi kulipia mahari ili kuhalalisha uhusiano wake na marehemu. Baada ya familia kulipwa dola za kimarekani 40 na n’gombe 10 hapo…

Tutalinda Mwenge usiku kucha!

Mbio za Mwenge 2016?

Mapema 2016. Mh. Makamu wa Rais Samia Suluhu alizindua ‘MWENGE’ wa uhuru  katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro kwaajili ya kutembezwa nchi nzima. Huko wilayani Nyamagana, mkoa wa Mwanza, Mkuu wake wa Wilaya akathubutu kuwazuia watu wasifanye shughuli zote za kijamii na kiuchumi katika wilaya yake ili wakaimbe wimbo wa Taifa na kuupokea mwenge. Wilaya…